UWANJA WA MAONYESHO GEITA KUBORESHWA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni kwa kanda ya Ziwa mchana huu amezungumza na wananchi wa jimbo la Geita Mjini
Soma Zaidi
KIWANJA KIKUBWA CHA MICHEZO KUJENGWA GEITA
Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea wa urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kwa awamu ya 2025-2030 ameahidi ujenzi wa kiwanja kikubwa cha Michezo Mkoani Geita ili kukuza Sekta ya Michezo Nchini.
Soma Zaidi
Banda la UVCCM Linaendelea Viwanja vya Uhindini
UVCCM imeendelea kutoa elimu kwa vijana katika viwanja vya Uhindini Jijini Mbeya, katika maonesho ya Wiki ya Vijana kitaifa yanayoendelea. UVCCM imeendelea kuelimisha vijana namna sahihi ya kupiga kura za Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutumia mfano wa karatasi ya kura, pamoja na umuhimu wa kushiriki uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kuchagua wabunge na madiwani wa CCM.
Soma Zaidi
AMANI YA TAIFA LETU YAMVUTIA WENJE CCM
Aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema ukanda wa ziwa Victoria na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Nyamagana Ndugu. Ezekiel D Wenje amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi leo Tarehe 13/10/2025 katika mkutano wa CCM wa kampeni Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
Soma Zaidi
SERIKALI YA CCM KUJENGA TAWI LA JKCI GEITA MJINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi akiwa katika jimbo la Geita Mjini amewaeleza wananchi kuwa Serikali imejipanga kujenga tawi la JKCI ndani ya jimbo hilo ili kuwasogezea wananchi huduma ya matibabu ya moyo.
Soma Zaidi
JE UNAWATAMBUA HAWA NI AKINA NANI?
Wanawake mmezaliwa Na uwezo sawa na Wanaume, mkiwa na uwezo wa kutimiza mambo makubwa lakini jamii na baadhi ya watu wamewafanya muamini kuwa hamuwezi, Kataeni dhana hiyo kwa kuwa mna uwezo; Mwalimu Julius K Nyerere
Soma Zaidi