HABARI MPYA
Habari na Matukio
Pata taarifa za mambo yanayotokea UVCCM
KAWAIDA: "WATAKE WASITAKE CCM ITASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TAREHE 29"
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida akizungumza na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Ufungaji wa Kampeni Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Soma Zaidi
MARTINE AHAMASISHA WAPIGA KURA KUBEBA KADI ZAO OKTOBA 29 NA KUTIKI KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Dar es Salaam, Oktoba 25, 2025 Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Emanuel Martine, amewahamasisha wafanyabiashara, wajasiriamali, wateja na wadau mbalimbali wa Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, wakichagua kwa kishindo wagombea wote wa CCM.
Soma ZaidiWAGOMBEA WETU UCHAGUZI 2025
"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE"
Dkt. Hussein Ali MWINYI
Mgombea Urais Zanzibar
Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Balozi Dkt. Emanuel NChimbi
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan
Viongozi Wakuu wa UVCCM
Viongozi wetu wanaongoza kwa uadilifu na ujuzi kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya kwa vijana wa Tanzania.
WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE VITI MAALUMU KUTOKA KUNDI LA VIJANA
Shuhuda za Vijana
Sikiliza kwa vijana wenzako waliofanikiwa kupitia mipango na mafunzo ya UVCCM