UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

Miradi na Vijana Wenye Mafanikio

Angalia miradi ya vijana na mafanikio yao

Miradi ya Vijana

Hakuna miradi iliyopatikana

Hakuna miradi ya vijana katika kategoria hii bado.

Unataka Kushiriki Mradi?

Tunaweza kukusaidia kuupromote mradi wako na kuwaunganisha na wadau.

Wasiliana Nasi Angalia Vijana

Vijana Wenye Mafanikio

Yohana Tegemea Joseph (Joh Music)
Yohana Tegemea Joseph (Joh Music)
28 Msakuzi, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es Salaam Dar es Salaam

Yohana Tegemea Joseph anajulikana kama kama Joh Music ni kijana mbunifu, kiongozi na msanii wa muziki wa kizalendo anayehudumu kama Katibu wa UVCCM Tawi la Msakuzi. Amejikita katika uhamasishaji wa vijana kupitia sanaa, uongozi na teknolojia, huku akiwa mwanzilishi wa mradi wa UVCCM Msakuzi TV unaolenga kuhabarisha jamii na kuwa chanzo cha mapato endelevu.

Nafidh Ally Mola
Nafidh Ally Mola
20 Dar es Salaam, Tanzania

Nafidh Ally Mola ni kijana mbunifu wa teknolojia na akili mnunde (AI) kutoka Tanzania mwenye umri wa miaka 20. Ametambuliwa kitaifa na kimataifa kwa ubunifu wake katika TEHAMA, ikiwa ni pamoja na kushiriki Global Misk Forum na kutunukiwa tuzo ya Best AI Innovator in Africa kupitia AUDA-NEPAD. Ni kijina mbunifu na mwenye mawazo chanya ya kutumia teknolojia katika kutatua changamoto za jamii