Dkt. Hussein Ali Mwinyi asema atayatekeleza Mambo Matatu Muhimu Kwa Vijana
Kusini Unguja, Zanzibar – Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameyataja mambo matatu ambayo atayatekeleza kwa vijana endapo atachaguliwa katika uongozi ujao
Soma Zaidi
RAIS MWINYI AISHUKURU SERIKALI YA OMAN KWA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya Oman na kupongeza uhusiano mwema wa kindugu na kihistoria uliopo kati ya Zanzibar na Oman
Soma Zaidi
SERIKALI IMETOA TRILIONI 3.5 KUWAWEZESHA VIJANA – MAJALIWA
Mbeya, Oktoba 10, 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kutoa zaidi ya shilingi trilioni 3.5 kufikia mwaka 2024 kwa ajili ya uwezeshaji wa vijana kiuchumi, ikilinganishwa na shilingi bilioni 904 zilizotolewa mwaka 2021.
Soma Zaidi
SERIKALI IMEJENGA VYUO 3 VYA VETA ILI VIJANA WAPATE UJUZI MWANZA .
Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUHU HASSAN wakati akihitimisha ziara yake ya kampeni Mkoani Mwanza amehutubia maelfu ya wananchi wa jimbo la Mwanza Mjini waliojitokeza katika Mkutano wa Kampeni mchana huu
Soma Zaidi
BULUGU ATOA ELIMU JINSI YA KUPIGA KURA.
Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Bulugu Magege, ameendelea na ziara ya kuhamasisha wananchi wa Mufindi hususani vijana wa Jimbo la Mafinga Mjini, kujitokeza kwa wingi Tarehe 29 Oktoba 2025 kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wagombea wote wa CCM.
Soma Zaidi