UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

Habari & Matukio

Habari za CCM, Habari za Vijana, Habari za Maendeleo n.k

MWENYEKITI UVCCM TAIFA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA HAYATI LUKUVI
28 Mar, 2026
00:00

MWENYEKITI UVCCM TAIFA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA HAYATI LUKUVI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC), ameshiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Hayati William Vangimembe Lukuvi.

Soma Zaidi
UVCCM KAGERA YAMPOKEA KATIBU WA SIASA, ITIKADI NA UENEZI TAIFA KWA SHANGWE
27 Mar, 2026
00:00

UVCCM KAGERA YAMPOKEA KATIBU WA SIASA, ITIKADI NA UENEZI TAIFA KWA SHANGWE

Bukoba, Kagera Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera umempokea kwa heshima na shangwe Ndugu Kenani Kihongosi, Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi Taifa, katika ziara yake ya siku tatu mkoani humo.

Soma Zaidi
MUENDELEZO WA ZIARA YA KIUTENDAJI KATIKA KATA SITA WAIMARISHA UHAI WA UVCCM
27 Mar, 2026
00:00

MUENDELEZO WA ZIARA YA KIUTENDAJI KATIKA KATA SITA WAIMARISHA UHAI WA UVCCM

Katika mwendelezo wa ziara ya kiutendaji katika kata sita, nimekutana na vijana kwa lengo la kuimarisha uhai wa Jumuiya, kuhamasisha usajili wa wanachama wapya na kugawa kadi za uanachama, huku nikisisitiza umuhimu wa kutumia fursa ya uwepo wa kadi nyingi kuendelea kusajili vijana kwa wingi. Aidha, nimepata fursa ya kusikiliza

Soma Zaidi
KATIBU UVCCM (W) SONGEA MJINI AENDELEA NA ZIARA YA KITENDAJI KATA ZA MATEKA NA MAJENGO
26 Mar, 2026
00:00

KATIBU UVCCM (W) SONGEA MJINI AENDELEA NA ZIARA YA KITENDAJI KATA ZA MATEKA NA MAJENGO

Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Songea Mjini, Ndugu David J. Mlonga, ameendelea na ziara yake ya kitendaji katika Kata za Mateka na Majengo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uhai wa Jumuiya na kuongeza ushiriki wa vijana.

Soma Zaidi
DAY TWO: ZIARA YA KITENDAJI YAENDELEA KATA ZA MBWENI NA WAZO
26 Mar, 2026
00:00

DAY TWO: ZIARA YA KITENDAJI YAENDELEA KATA ZA MBWENI NA WAZO

Katika mwendelezo wa ziara ya kitendaji, tarehe 25 Machi, 2026, nimeendelea na ziara katika Kata za Mbweni na Wazo, ambapo nimekutana na viongozi pamoja na wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).

Soma Zaidi
KATIBU UVCCM TABORA MJINI AANZA RASMI ZIARA YA KITENDAJI KATA ZA IKOMWA NA KAKOLA
26 Mar, 2026
00:00

KATIBU UVCCM TABORA MJINI AANZA RASMI ZIARA YA KITENDAJI KATA ZA IKOMWA NA KAKOLA

Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Tabora Mjini, Cde. Muzamir Kambuga, tarehe 25 Machi 2026 ameanza rasmi ziara ya kitendaji katika Kata za Ikomwa na Kakola, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha uhai wa Jumuiya na kuongeza ufanisi wa shughuli za vijana.

Soma Zaidi