Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

DKT.SAMIA CHAGUO LETU

tunaimani na Rais Dkt.Samia

CHAGUO LA WATANZANIA

KIJANI ILANI CHATBOT

Uzinduzi wa Kijani IlaniChatbot

Bofya hapa Ilani Chatbot

Uongozi na Uwajibikaji

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

uongozi na Uwajibikaji

Kijana na Kijani

Tunazima zote tunawasha Kijani

Tunasonga mbele pamoja

Chaguo letu

Tukimuona Dkt Samia, Tumeiona leo na kesho iliyo salama

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Wataweza Kweli.....?

Historia imeandikwa Rais Dkt Samia achukua fomu

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

CCM hii tumeipenda wenyewe....

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Kijana na Kijani

Uzalendo na Uongozi

Tunasonga mbele pamoja

Oktoba tunatiki

Habari na Matukio

Pata taarifa za mambo yanayotokea UVCCM

Ona Habari Zote
Tanzania na Marekani Zimefikisha Hatua za Mwisho za Kufanikisha Makubaliano Makubwa ya Uwekezaji
08 Dec, 2025 43

Tanzania na Marekani Zimefikisha Hatua za Mwisho za Kufanikisha Makubaliano Makubwa ya Uwekezaji

Dodoma, Tanzania – Tanzania na Marekani ziko katika hatua za mwisho za kufanikisha makubaliano makubwa ya uwekezaji yanayolenga kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia, kiuchumi na kiusalama kati ya mataifa haya mawili. Hii ni hatua inayothibitisha dhamira ya pande zote mbili katika kujenga ushirikiano wa kisasa, unaolenga ustawi wa pamoja.

Soma Zaidi
TAARIFA KUTOKA KWA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
08 Dec, 2025 11

TAARIFA KUTOKA KWA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Kesho, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Waziri Mkuu leo, ametoa agizo maalum kwa wananchi wote wa Tanzania.

Soma Zaidi
KAWAIDA: VIJANA, TUNAJUKUMU LA KULINDA AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU
07 Dec, 2025 15

KAWAIDA: VIJANA, TUNAJUKUMU LA KULINDA AMANI, UMOJA NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU

Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Mohammed Ali Kawaida(MCC) amesisitiza wito wa mshikamano na amani miongoni mwa Watanzania, huku akibainisha mafanikio makubwa ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Soma Zaidi

WAGOMBEA WETU UCHAGUZI 2025

"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE"

Dkt. Hussein Ali MWINYI

Dkt. Hussein Ali MWINYI

Mgombea Urais Zanzibar

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mgombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Balozi Dkt. Emanuel NChimbi

Balozi Dkt. Emanuel NChimbi

Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzan

Viongozi Wakuu wa UVCCM

Viongozi wetu wanaongoza kwa uadilifu na ujuzi kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya kwa vijana wa Tanzania.

Mussa Mwakitinya (MNEC)

Mussa Mwakitinya (MNEC)

N/Katibu Mkuu UVCCM (Bara)

Rehema Sombi(MNEC)

Rehema Sombi(MNEC)

M/Mwenyekiti UVCCM Taifa

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mwenyekiti UVCCM Taifa

Halidi Mwinyi (MNEC)

Halidi Mwinyi (MNEC)

Katibu Mkuu UVCCM

Abdi Mahamoud

Abdi Mahamoud

N/Katibu UVCCM Zanzibar

Shuhuda za Vijana

Sikiliza kwa vijana wenzako waliofanikiwa kupitia mipango na mafunzo ya UVCCM

Mafunzo ya ujasiriamali niliyoyapata UVCCM yamenifungulia dunia na sasa naajiri vijana wenzangu 12 katika kampuni yangu ya utengenezaji wa viatu. Asanteni kwa msaada na mwelekeo mzuri.

Asha Mwinyi
Asha Mwinyi

Mjasiriamali, Zanzibar

Kupitia mafunzo ya UVCCM nimeweza kuanzisha biashara ya kilimo cha kisasa na sasa nina mazao bora ya mbogamboga ninayouza kwa wanakijiji wangu na hata kwenye soko la mjini.

Juma Hassan
Juma Hassan

Mkulima, Arusha