Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

MUUNGANO WETU, FAHARI YETU

Amani, Umoja na mshikamano ndio Msingi wa Maendeleo Endelevu

MUUNGANO WETU, FAHARI YETU

Kazi na Utu

Kazi na Utu Tunasonga Mbele

Fyucha bila stresi

CCM HII TUMEIPENDA WENYEWE

Matembezi ya miaka 62 ya Mapinduzi ya zanzibar

Kazi na Utu, Tunasonga mbele

AMANI NI FURSA

Amani ndio msingi wa maendeleo yetu

AMANI NI FURSA

KIJANI ILANI CHATBOT

Uzinduzi wa Kijani IlaniChatbot

Bofya hapa Ilani Chatbot

Uongozi na Uwajibikaji

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

uongozi na Uwajibikaji

Kijana na Kijani

Tunazima zote tunawasha Kijani

Tunasonga mbele pamoja

Chaguo letu

Tukimuona Dkt Samia, Tumeiona leo na kesho iliyo salama

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Wataweza Kweli.....?

CCM chama imara

Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Uzalendo na Uongozi

Tunasonga mbele pamoja

Oktoba tunatiki

Habari na Matukio

Pata taarifa za mambo yanayotokea UVCCM

Ona Habari Zote
KAWAIDA: HATUTAWAVUMILIA WATUMISHI WANAOKWAMISHA VIJANA KUPATA MIKOPO
19 May, 2026 32

KAWAIDA: HATUTAWAVUMILIA WATUMISHI WANAOKWAMISHA VIJANA KUPATA MIKOPO

Na Mwandishi Wetu, Tandahimba – Mtwara Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida amesema ataendelea kusimamia maslahi ya vijana nchini kwa kuhakikisha wanapata fursa, huduma na mazingira rafiki yatakayowawezesha kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza leo na vikundi vya vijana wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 katika Wilaya ya Tandahimba, Ndugu Kawaida alisema hatakuwa tayari kuvumilia watumishi

Soma Zaidi
MWENYEKITI WA UVCCM, MOHAMMED ALI KAWAIDA AWASILI TANDAHIMBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU YA PILI MTWARA
19 May, 2026 31

MWENYEKITI WA UVCCM, MOHAMMED ALI KAWAIDA AWASILI TANDAHIMBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU YA PILI MTWARA

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC), ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara ambapo leo tarehe 19 Mei 2026 amewasili katika Wilaya ya Tandahimba kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuzungumza na vijana pamoja na viongozi wa chama ngazi ya wilaya.

Soma Zaidi
KAWAIDA: VIJANA JIPANGENI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA SERIKALI
18 May, 2026 31

KAWAIDA: VIJANA JIPANGENI KUNUFAIKA NA MIKOPO YA SERIKALI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida(MCC), amewataka vijana nchini kuendelea kujipanga katika vikundi, kuandaa maandiko yenye ubora na kutumia ipasavyo fursa za mikopo zinazotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi.

Soma Zaidi

"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE"

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mwenyekiti wa Chama cha CCM

Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi

M/Mwenyekiti wa Zanzibar

Ndugu Stephen Masato Wasira

Ndugu Stephen Masato Wasira

M/Mwenyekiti wa Bara

Dkt. Asha Rose Migiro

Dkt. Asha Rose Migiro

Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

Viongozi Wakuu wa UVCCM

Viongozi wetu wanaongoza kwa uadilifu na ujuzi kwa lengo la kuleta mabadiliko chanya kwa vijana wa Tanzania.

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mohammed Ali Kawaida(MCC)

Mwenyekiti UVCCM Taifa

Rehema Sombi(MNEC)

Rehema Sombi(MNEC)

M/Mwenyekiti UVCCM

Halidi Mwinyi (MNEC)

Halidi Mwinyi (MNEC)

Katibu Mkuu UVCCM

Mussa Mwakitinya (MNEC)

Mussa Mwakitinya (MNEC)

Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara

Abdi Mahamoud

Abdi Mahamoud

Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar

Shuhuda za Vijana

Sikiliza kwa vijana wenzako waliofanikiwa kupitia mipango na mafunzo ya UVCCM

Mafunzo ya ujasiriamali niliyoyapata UVCCM yamenifungulia dunia na sasa naajiri vijana wenzangu 12 katika kampuni yangu ya utengenezaji wa viatu. Asanteni kwa msaada na mwelekeo mzuri.

Asha Mwinyi
Asha Mwinyi

Mjasiriamali, Zanzibar

Kupitia mafunzo ya UVCCM nimeweza kuanzisha biashara ya kilimo cha kisasa na sasa nina mazao bora ya mbogamboga ninayouza kwa wanakijiji wangu na hata kwenye soko la mjini.

Juma Hassan
Juma Hassan

Mkulima, Arusha