UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

AMANI YA TAIFA LETU YAMVUTIA WENJE CCM

14 Oct, 2025 11 Machapisho
🗓 13 Oktoba 2025
📍 Chato

Aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema ukanda wa ziwa Victoria na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Nyamagana Ndugu. Ezekiel D Wenje amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi leo Tarehe 13/10/2025 katika mkutano wa CCM wa kampeni Wilaya ya Chato Mkoani Geita. 

Akihutubia Katika umati huo, Ndugu. Wenje amesema kilichomsukuma yeye kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni amani tuliyonayo toka tumepata uhuru, kwa maana hiyo Chama cha Mapinduzi ndicho chama pekee ambacho kiweweza kusimamia amani ya Taifa letu. 

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅