UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

BUTIAMA EEH, BUTIAMA RAHAA!

10 Oct, 2025 20 Machapisho
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameshiriki mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Butiama. Kauli na nguvu za Ndg. Kawaida ziliamsha hamasa kubwa kwa washiriki wa makundi mbalimbali, ambao wameshuhudia umuhimu wa kumpigia kura Dkt. Samia tarehe 29 Oktoba 2025.

#OktobaTunatiki ✅
#FyuChabiLaStress 💚
#TokaNitokeTukatiki ✅