UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI YA CCM IMEPANDISHA MAPATO YA WAVUVI MARA.

09 Oct, 2025 10 Machapisho
🗓 09 Oktoba 2025 
📍 Bunda- Mara 

Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili Mkoani Mara kwa ajili ya ziara yake ya Kampen.

Machana huu amezungumza na maelfu ya wananchi wa jimbo la Bunda na kuwaeleza kuwa kufuatia Serikali kufanya maboresho katika sekta ya Uvuvi Mkoani humo imepelekea kuinua Pato la wavuvi na uchumi wa wakazi wa Bunda na Mara kwa Ujumla

#OktobaTunatiki✅✅
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele