UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

VIJANA TABORA WAPATA FURSA ZA AJIRA MPYA KUPITIA ILANI YA CCM 2025–2030

11 Sep, 2025 41 Machapisho
🔛 Alhamisi,Tar 11/09/2025
🆕ILANI YA CCM 

Kazi kwa Vijana, Maendeleo kwa Taifa
Kupitia Ilani ya CCM 2025 – 2030, Serikali imejipanga kuhakikisha vijana wanapata nafasi za ajira zenye tija Katika miaka mitano ijayo, mamilioni ya vijana watanufaika na fursa hizi ambapo Mkoa wa Tabora nao upo mstari wa mbele kupata ajira mpya kwenye ualimu na afya.

📲 Yote haya na mengine zaidi unaweza kuyapata kwa urahisi kupitia Ilani ChatBot https://kijanichatbot.or.tz/, rafiki yako wa kidijitali anayekupa majibu ya papo kwa papo kuhusu Ilani ya CCM, Hii ndiyo nguvu ya teknolojia inayowezesha kila kijana kupata maarifa kwa njia rahisi na yenye radha ya kisasa.

Huu ndiyo wakati wa vijana kushiriki kikamilifu katika kujenga uchumi wa Taifa letu.

#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi