UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUTOA FURSA KWA SEKTA BINAFSI HUDUMA ZA MWENDO KASI DSM

22 Oct, 2025 8 Machapisho
Ilala Dar es Salaam,amesema hayo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, akibainisha kuwa Serikali itaendelea kutoa fursa kwa sekta binafsi kushiriki katika uendeshaji wa huduma za mwendo kasi jijini Dar es Salaam.

Hatua hii inalenga kuongeza ufanisi, kuboresha usafiri wa umma na kupunguza msongamano wa magari, huku ikifungua milango ya ajira na uwekezaji zaidi katika jiji hilo linalokua kwa kasi.

#oktobatunatiki✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅