UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KAGERA

16 Oct, 2025 6 Machapisho
🗓️ Tarehe 16 Oktoba,2025
📍Bukaba Mjini-Kagera 

Akiwa Bukoba Mjini Mkoa wa Kagera, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameonesha dhamira thabiti ya kuendeleza uboreshaji wa miundombinu ya barabara ili kufungua fursa zaidi za kiuchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na huduma, pamoja na kuunganisha vijiji na miji kupitia barabara za kisasa. 

Amesisitiza kuwa Kagera itaendelea kuwa kitovu cha biashara, usafiri na maendeleo katika ukanda wa magharibi mwa nchi.

#oktobatunatiki✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅