UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

JE UNAWATAMBUA HAWA NI AKINA NANI?

14 Oct, 2025 7 Machapisho
"Wanawake mmezaliwa Na uwezo sawa na Wanaume, mkiwa na  uwezo wa kutimiza mambo makubwa lakini jamii na baadhi ya watu wamewafanya muamini kuwa hamuwezi, Kataeni dhana hiyo kwa kuwa mna UWEZO"   Mwalimu Julius K Nyerere

Tunaposherekea Maisha yako tunakumbuka msingi uliojenga kwa kuinua nafasi ya Mwanamke kwenye Uongozi, leo hii Chama cha Mapinduzi kwa Mara ya kwanza kimempata Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Mwenyekiti wake na mgombea wa nafasi ya Urais