Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
Tangazo la Fursa: Udahili wa Nafasi za Masomo Nchini China 2026/2027 | Fursa za Vijana | UVCCM

Tangazo la Fursa: Udahili wa Nafasi za Masomo Nchini China 2026/2027

Udhamini wa Masomo Muhimu Maombi yameisha
1
Wameona
Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kupitia Chinese Government Scholarship (CGS)
Shirika
Vyuo Vikuu mbalimbali nchini China
Mahali

Maelezo ya Fursa

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma maombi ya ufadhili kamili (Chinese Government Scholarship) kwa ajili ya masomo ya Shahada, Uzamili na Uzamivu kwa mwaka wa masomo 2026/2027.

Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China imetoa ufadhili kamili wa masomo (Chinese Government Scholarship) kwa ajili ya Watanzania wanaotaka kusoma Shahada, Uzamili na Uzamivu katika vyuo vikuu mbalimbali nchini China kwa mwaka wa masomo 2026/2027.

Mahitaji ya Kujiunga

Fomu ya maombi ya CGS iliyojaa mtandaoni
Vyeti na transcripts vilivyothibitishwa

Masharti ya Kustahiki

Awe raia wa Tanzania
Awe na ufaulu mzuri katika masomo
Umri usiozidi miaka 25 kwa Shahada, 35 kwa Uzamili, na 40 kwa Uzamivu

Faida na Manufaa

Ufadhili kamili wa ada zote za masomo
Malazi ya chuo (hostel)
Posho ya kujikimu (monthly living allowance)