RAHA YA KIJANI ILANI CHATBOT NI UHAKIKA WA MAJIBU KUHUSU ILANI YA CCM 2025 - 2030.
09 Oct, 2025
16 Machapisho
Ni rahisi kupata majibu sahihi na ya haraka kuhusu Ilani ya CCM kupitia Kijani Ilani Chatbot
Haitumii data wala internet mara tu unapobofya link 👉 https://kijanichatbot.or.tz/
, zima data yako, kisha enjoy mazungumzo ya kijani yenye maarifa.
Pata ufafanuzi, majibu ya papo kwa papo, uchambuzi na maelezo kamili kuhusu Ilani ya CCM moja kwa moja kupitia chatbot yako rafiki.
Jaribu sasa na washirikishe wenzako maana kila kijana ana haki ya kuelewa Ilani vizuri.
#TokaNitokeTukatiki
#KazinaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani
Habari Zinazohusiana
KURA YANGU SAUTI YANGU
26 Oct, 2025
Ni haki yangu kushiriki Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025
KAWAIDA: "WATAKE WASITAKE CCM ITASHINDA KWA KISHINDO KIKUBWA TAREHE 29"
26 Oct, 2025
Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa komredi Mohammed Ali Kawaida akizungumza na wananchi walio jitokeza kwa wingi katika Ufungaji wa Kampeni Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MARTINE AHAMASISHA WAPIGA KURA KUBEBA KADI ZAO OKTOBA 29 NA KUTIKI KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
26 Oct, 2025
Dar es Salaam, Oktoba 25, 2025 Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa wa Vyuo na Vyuo Vikuu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Emanuel Martine, amewahamasisha wafanyabiashara, wajasiriamali, wateja na wadau mbalimbali wa Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025, wakichagua kwa kishindo wagombea wote wa CCM.