UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

IJUE ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI - ZANZIBAR

17 Sep, 2025 33 Machapisho
📍ZANZIBAR 
 🗓️17/09/2025 

Chama Cha Mapinduzi kimejipanga kutekeleza ilani  kwa upande wa Sekta ya kilimo na sekta ya Miundombinu ya  Barabara. 

Hii ni pamoja na ujenzi wa Barabara za Lami kila wilaya Sambamba  ujenzi wa maghala makubwa manne ya kuhifadhi Chakula mkoani Kusini Unguja. 

Yote haya na mengine zaidi unaweza kuyapata kwa urahisi kupitia Ilani ChatBot https://kijanichatbot.or.tz/, rafiki yako wa kidijitali anayekupa majibu ya papo kwa papo kuhusu Ilani ya CCM. 


#KaziNaUtuTunasongaMbele
#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi