UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

CHAKA 2 CHAKA KUINADI ILANI

16 Sep, 2025 43 Machapisho
Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi dkt. Samia Suluhu na Mgombea mwenza Balozi Emmanuel Nchimbi wanaendelea kuchanja mbuga kuelekea Oktoba hivyo bado siku 44 CCM itengeneze Historia.

Twendeni pale 29 Oktoba Tukarundike Kura kwa Chama Cha Mapinduzi 

#OktobaTunatiki
#FyuchaBilaStresi
#KaziNaUtuTunasongaMbele