Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
Rais Samia Suluhu Hassan afunga Kongamano la Muungano la Muungano, Atoa Wito wa Kuimarisha Mshikamano wa Kitaifa | UVCCM
Habari za Kitaifa (UVCCM)

Rais Samia Suluhu Hassan afunga Kongamano la Muungano la Muungano, Atoa Wito wa Kuimarisha Mshikamano wa Kitaifa

26 Apr, 2026 Admin User 22 views min read

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefunga rasmi Kongamano la Muungano lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), lililofanyika Tunguu, Zanzibar, huku akisisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha mshikamano wa kitaifa kama msingi wa amani, utulivu na maendeleo endelevu ya taifa.