Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
ZIARA UVCCM WILAYA YA BABATI MJINI 2026 | UVCCM
ZIARA UVCCM WILAYA YA BABATI MJINI 2026 | UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
Habari Nyingine

ZIARA UVCCM WILAYA YA BABATI MJINI 2026

26 Mar, 2026 00:00 Admin User 17 views 0 comments

Kamati Tendaji chini ya Katibu wa Vijana Wilaya NDG SUYAAN N. MOLLEL imeendelea kufanya ziara yake na leo tar 26/3/2026 amefanya ziara Seneti ya Veta Manyara amekutana na wanachuo na kueleza malengo ya ziara hiyo ikiwemo kukagua uhai wa jumuiya, kuingiza wanachama wapya kwenye mfumo wa kielektroniki, kuwaelezea fursa mbali mbali za vijana ikiwemo mikopo ya vijana zinazotolewa na halmashauri yetu na mikopo inayotolewa na Ofisi ya Rais maendeleo ya vijana
Pia aliwaasa wanachuo kuendelea kuiunga mkono serikali inayoongozwa na Dr. Samia Suluhu Hassan ili izidi kuwafanyia mambo mazuri

#Tumechaguaumojanaamnikwamaendeleoyataifaletu
#kazinaututunasongambele
#babatimjinimojatuijengepamoja

Imetolewa na Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wilaya ya Babati Mjini
Admin User

Mwandishi wa UVCCM - Anatoa taarifa za kusisimua kuhusu shughuli za vijana na maendeleo ya taifa.