Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SENET ZA MIKOA – VYUO VYA KATI NA VYUO VIKUU | UVCCM
UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SENET ZA MIKOA – VYUO VYA KATI NA VYUO VIKUU | UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)
Habari Nyingine

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SENET ZA MIKOA – VYUO VYA KATI NA VYUO VIKUU

13 Feb, 2026 00:00 Admin User 65 views 0 comments
Tunapenda kuwajulisha wanachama wote kuwa Uchaguzi wa kupata viongozi wa Senet za mikoa katika Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu utafanyika kesho, Jumamosi, Februari 14, 2026.
Nafasi zinazogombaniwa katika kila mkoa ni:
  • Mwenyekiti wa Senet Mkoa
  • Katibu wa Senet Mkoa
  • Katibu Hamasa wa Senet Mkoa
  • Wajumbe 2 wa Kamati ya Uratibu wa Senet Mkoa
Kumbuka:
Ni muhimu kufuata taratibu na kanuni zote za Uchaguzi kikamilifu.
Endapo mwanachama yeyote atabaini ukiukwaji wa kanuni au taratibu, tafadhali ripoti mara moja kwa namba ya simu: 0719 - 438565.
Tunawahimiza wote kushiriki kikamilifu na kuhakikisha mchakato wa Uchaguzi unafanyika kwa heshima, uwazi, na uadilifu.
Admin User

Mwandishi wa UVCCM - Anatoa taarifa za kusisimua kuhusu shughuli za vijana na maendeleo ya taifa.