UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI YA CCM KUJENGA SOKO KUBWA LA KISASA JANGWANI DSM

22 Oct, 2025 6 Machapisho
Ilala Dar es salaam, Mgombea wa kiti cha Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt Samia Suluhu  Hassan akiendelea na ziara yake ya kampeni Mkoani Dar es salaam Mchana wa leo. 

Amezungumza na wananchi wa Wilaya ya Ilala ambapo amewaeleza kuwa Serikali inakwenda kujenga soko kubwa la kisasa kwa ajili ya Machinga na wafanyabiashara ndogondogo maeneo ya Jangwani panapojengwa daraja ili liweze kuanza kutumika kwa haraka 

#OktobaTunatiki ✅✅✅
#FyuchaBilaStresi
#TokaNitokeTukatiki✅