UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI YA CCM KUJENGA KIWANDA CHA KUSINDIKA SAMAKI IKWIRIRI

20 Oct, 2025 15 Machapisho
Rufiji - Pwani,Serikali ya Chama Cha Mapinduzi Chini ya Mgombea wa kiti cha urais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda Cha kusindika Samaki Rufiji Mkoani Pwani.

Kiwanda hicho kitalenga kuongeza ajira kwa Vijana na kukuza Uchumi wa Pwani  na Taifa kwa Ujumla, Dkt Samia Suluhu Hassan pia amewaomba Watanzania wajitokeze kupiga kura Oktoba 29 na kumpa Ridhaa Ya kuiongoza Nchi kwa awamu ijayo ili kutekeleza yale yaliyopa katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

#oktobatunatiki ✅✅✅
#fyuchabilastresi 
#tokanitoketukatiki ✅