UVCCM
Tafadhali subiri...
UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM)

SERIKALI KUFANYA MAREKEBISHO MAKUBWA YA RELI YA KATI

22 Oct, 2025 6 Machapisho
Ilala -Dar es Salaam,Serikali ya Chama Cha Mapinduzi Chini ya Mgombea wake wa Urais Dkt Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa watafanya Marekebisho makubwa ya Reli ya Kati, Reli ya TAZARA ili ifanye kazi vizuri ili kuweza kuchochea Maendeleo mazuri ya Taifa Letu.

Dkt Samia Suluhu pia katika Mkutano huo uliofanyika leo hapo Ilala amewahimiza wananchi wajitokeze kwa wingi kuja kumpigia kura oktoba 29 ili aweze kutekeleza Marekebisho hayo na kutekeleza Mengine yaliyoandikwa kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

#oktobatunatiki ✅✅✅
#fyuchabilastressi 
#tokanitoketukatiki ✅